• Business Starts Here!

Saratani ya mlango wa kizazi


Saratani ya mlango wa kizazi Saratani ya mlango wa kizazi

Mapambano dhidi ya saratani ya mlango wa kizazi sio ya wanawake peke yao, ni yetu sote. Kuanzia terehe 28-30 mwezi huu hospitali ya Marie Stopes Mwenge itatoa huduma bure za uchunguzi wa mabadiliko ya awali ya saratani ya mlango wa kizazi pamoja na vipimo vya HIV, shinikizo la damu (BP), kisukari na huduma za uzazi wa mpango kutoka kwa madaktari wetu wabobezi. 


Mwambie mwenzio!

Contact UsSend Email

  • 421 - 422 Marie Stopes Road
  • Afrika Sana
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product