• Business Starts Here!

Nunua tiketi mtandaoni

Nunua tiketi mtandaoni

Umechoka kwenda kwenye kituo cha basi kununua tiketi mapema?

Hakuna tena haja ya kukaa kwenye foleni na kulipa usafiri ili ufikie kituo cha mabasi na kununua tiketi.Hakuna haja ya kukabiliana na mawakala feki na wapiga debe wanaoweza kukudanganya na kukuongezea bei.

Sasa una njia salama ya kununua tiketi mtandaoni kutoka kwa kampuni yoyote ya basi kwenda popote nchini.

Tunaweza kukununulia tiketi kutoka kwa kampuni yoyote ya basi.

Upate maelezo zaidi

Contact Details

  • Near Clouds fm
  • 16 Off Coca-Cola Road
  • Mikocheni B
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam
+255783826867

Send Email

Social MediaShare Product