• Business Starts Here!

Nyumba inapangishwa mbezi beach dar es salaam

Nyumba inapangishwa mbezi beach dar es salaam USD 1,200

Nyumba inapangishwa iko mbezi beach nyumba ya pili kutoka barabara Kuu rami ina vyumba v4 vyote master, jiko stoo, public toilets, car parking ya gari 8. Inafaa matumizi ya kuishi au ofisi. Bei  $ 1,200 USD. Kwa mwezi malipo miezi sita kuendelea.

Contact Details

  • Plot no. 41/A
  • Bagamoyo road
  • Mbezi Beach - Goig
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam
+255713418477

Send Email

Social MediaShare Product