• Business Starts Here!

Nyumba inapangishwa mbezi beach dar es salaam

Nyumba inapangishwa mbezi beach dar es salaam

USD 1,200


Nyumba inapangishwa iko mbezi beach nyumba ya pili kutoka barabara Kuu rami ina vyumba v4 vyote master, jiko stoo, public toilets, car parking ya gari 8. Inafaa matumizi ya kuishi au ofisi. Bei  $ 1,200 USD. Kwa mwezi malipo miezi sita kuendelea.


Contact Details :


Send Us an e-mail