TZS 1M - House for rent in Mbezi Beach, Mwalimu Nyerere
Nyumba napangishwa Mbezi Beach karibu na shule ya Mwalimu Nyerere. Nyumba ina vyumba vitano vya kulala, viwili ni self contained. Nyumba ipo pazuri. Ina miti mingi garden na sehemu ya kulaza magari.