• Business Starts Here!

USD 400k - House for sale in Masaki


House for sale in Masaki House for sale in Masaki

Nyumba inauzwa ipo Masaki Yacht club area. Ina vyumba vinne ambapo viwili ni self contained. Nyumba ni yakufanyia marekebisho kidogo. Size ya uwanja ni square meters 880. 

Tafadhali wasiliana nasi kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu".

Contact UsSend Email

  • Plot no. 41/A
  • Bagamoyo road
  • Mbezi Beach - Goig
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product