• Business Starts Here!

USD 350k - House for sale in Mbezi Beach


House for sale in Mbezi Beach House for sale in Mbezi Beach

Nyumba inauzwa ipo Mbezi Beach. Nyumba ina vyumba 4 vyote self. Ina servant quarter. Nyumba ya kisasa ni mpya ndio kwanza inamaliziwa. Iwapo unahitaji nyumba ya kileo mtaa mzuri na wa kibalozi njoo nunua nyumba hii ina ukubwa wa kiwanja square meter 900.

Wasiliana nasi kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu".

Contact UsSend Email

  • Plot no. 41/A
  • Bagamoyo road
  • Mbezi Beach - Goig
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product