• Business Starts Here!

viwanja vya Bei rahisi Vikawe

TZS 40,000,000


Ajoma real eastate agency inawaletea viwanja Zaidi ya 130 vilivyopo maeneo ya vikawe (kibaha) vinavyouzwa.

Viwanja vimepimwa na kuandaliwa katika mchoro kwa ajili ya kurahisha ufatiliaji wa hati miliki

Umbali wa viwanja kutoka barabara kuu ni kama ifuatavyo:- 

v  Kutokea bagamoyo road (BAOBAB Sec school, Mapinga) ni kilomita 9 mbaka eneo la viwanja (Vikawe)

v  Kutokea Morogoro Road (KIBAHA) ni  kilomita 13 mbaka eneo la viwanja (Vikawe)

Bei ya kiwanja kwa Square metre inauzwa kwa Tsh 10,000, bila kusahau mnunuzi anaweza kulipa kwa awamu (Installments) 


Contact Details :


Send Us an e-mail