• Business Starts Here!

TZS 1M - Nyumba inapangishwa Mbezi Salasala


Nyumba inapangishwa Mbezi Salasala Nyumba inapangishwa Mbezi Salasala Nyumba inapangishwa Mbezi Salasala Nyumba inapangishwa Mbezi Salasala Nyumba inapangishwa Mbezi Salasala

Nyumba ya vyumba vitatu. Kimoja master bedroom. Ina uzio wa ukuta wa matofali (fence), garden, maji, umeme, tiles floor. Vilevile ina nyumba ndogo ya nje (servant's quarter) yenye vyumba viwili na sebule na parking ya gari mbili. Tafadhali wasiliana nasi tuweze kukupeleka kwaajili ya inspection.

Contact UsSend Email

  • Plot no. 41/A
  • Bagamoyo road
  • Mbezi Beach - Goig
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product