- Habari njema kwa wapendwa wateja wetu, tumeanzisha huduma ya kutuma bidhaa zetu popote ulipo ndani ya Tanzania kwa gharama nafuu kabisa.
Tunafanya delivery hadi mlangoni kwako.
Tupigie. Tukuletee.
Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba yetu.