Ajoma
real eastate agency inawaletea viwanja Zaidi ya 130 vilivyopo maeneo ya vikawe
(kibaha) vinavyouzwa.
Viwanja
vimepimwa na kuandaliwa katika mchoro kwa ajili ya kurahisha ufatiliaji wa hati
miliki
Umbali
wa viwanja kutoka barabara kuu ni kama ifuatavyo:-
v
Kutokea
bagamoyo road (BAOBAB Sec school, Mapinga) ni kilomita 9 mbaka eneo la viwanja
(Vikawe)
v
Kutokea
Morogoro Road (KIBAHA) ni kilomita 13
mbaka eneo la viwanja (Vikawe)
Bei ya
kiwanja kwa Square metre inauzwa kwa Tsh 10,000, bila kusahau mnunuzi anaweza
kulipa kwa awamu (Installments)