Ajoma real eastate agency inawaletea viwanja Zaidi ya 130 vilivyopo maeneo ya Vikawe (Kibaha) vinavyouzwa. Viwanja vimepimwa na kuandaliwa katika mchoro kwa ajili ya kurahisha ufatiliaji wa hati miliki. Umbali wa viwanja kutoka barabara kuu ni kama ifuatavyo:-
Kutokea bagamoyo road (BAOBAB Sec school, Mapinga) ni kilomita 9 mbaka eneo la viwanja (Vikawe)
KKutokea
Morogoro Road (KIBAHA) ni kilomita 13
mbaka eneo la viwanja (Vikawe)
Bei ya
kiwanja kwa Square metre inauzwa kwa Tsh 10,000, bila kusahau mnunuzi anaweza
kulipa kwa awamu (Installments)
Please call us by clicking on the "Piga Simu" button for inquiries.