• Business Starts Here!

Nunua Toyota Noah X, AZR60 kwa mkopo


Nunua Toyota Noah X, AZR60 kwa mkopo Nunua Toyota Noah X, AZR60 kwa mkopo Nunua Toyota Noah X, AZR60 kwa mkopo Nunua Toyota Noah X, AZR60 kwa mkopo

Toyota Noah X grade,  AZR60 model. Gari ipo katika hali nzuri kabisa. Imeagizwa kutoka Japan na haijatembea/haijasajiliwa bado. Unaweza kununua kwa mkopo wa asilimia 50 wa thamani ya gari kwa maelezo kama yafuatayo.

Maelezo:
  • Mteja anatakiwa kutoa asilimia hamsini (50%) au zaidi, ya thamani ya gari kama kianzio (advance) na kukopeshwa kiasi kilichobakia (50%).
  • Mteja atatakiwa kulipa mkopo kidogo kidogo (kwa kiwango tunachokubaliana) kila mwezi (monthly payments).
  • Muda wa kurejesha mkopo wote unaanzia miezi sita (6) hadi kumi na mbili (12) kutegemea na thamani ya gari husika.
  • Mteja atatakiwa kukata bima ya comprehensive (comprehensive insurance cover) yenye thamani ya mkopo wote.
  • Kadi ya gari itabaki ofisini hadi mkopo wote utakaporejeshwa.

Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu au "send email" na tutakujibu mapema iwezekanavyo.

Contact UsSend Email

  • Mwai Kibaki road
  • Mikocheni A
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product