• Business Starts Here!

Toyota Noah Liteace. F Exurb 4WD inauzwa kwa mkopo


Toyota Noah Liteace. F Exurb 4WD inauzwa kwa mkopo Toyota Noah Liteace. F Exurb 4WD inauzwa kwa mkopo Toyota Noah Liteace. F Exurb 4WD inauzwa kwa mkopo Toyota Noah Liteace. F Exurb 4WD inauzwa kwa mkopo Toyota Noah Liteace. F Exurb 4WD inauzwa kwa mkopo

Toyota Noah Liteace F Exurb. Cream color. 4WD (SR50). Spoiler. Rear mirror. Tinted windows. Alloy wheels. Year 1998. 7+1 seats.


Maelezo:
  • Mteja anatakiwa kutoa asilimia hamsini (50%) ya thamani ya gari kama kianzio (advance).
  • Mteja atatakiwa kulipa mkopo kidogo kidogo (kwa kiwango tunachokubaliana) kila mwezi (monthly payments).
  • Muda wa kurejesha mkopo wote unaanzia miezi sita (6) hadi kumi na mbili (12) kutegemea na thamani ya gari husika.
  • Mteja atatakiwa kukata bima ya comprehensive (comprehensive insurance cover) yenye thamani ya mkopo wote.
  • Kadi ya gari itabaki ofisini hadi mkopo wote utakaporejeshwa.

Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu au "send email" na tutakujibu mapema iwezekanavyo.

Contact UsSend Email

  • Mwai Kibaki road
  • Mikocheni A
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product