Gari hii inauzwa kwa mkopo.
Make/Model: Lexus RX330
Color: Black
Engine: 2.4L - Petrol
Year: 2005
Mileage: 48,000 Kilometers
Transmission: Auto+Manual
Key features:
- Tinted windows
- Spoiler
- Alloy wheels
- Rear passenger AC
- DVD player
- Immobilizer
Maelezo:
- Mteja anatakiwa kutoa asilimia hamsini (50%) ya thamani ya gari kama kianzio (advance).
- Mteja atatakiwa kulipa mkopo kidogo kidogo (kwa kiwango tunachokubaliana) kila mwezi (monthly payments).
- Muda wa kurejesha mkopo wote unaanzia miezi sita (6) hadi nane (8) kutegemea na thamani ya gari husika.
- Mteja atatakiwa kukata bima ya comprehensive (comprehensive insurance cover) yenye thamani ya mkopo wote.
- Kadi ya gari itabaki ofisini hadi mkopo wote utakaporejeshwa.
- Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu au "send email" na tutakujibu mapema iwezekanavyo.