• Business Starts Here!

Toyota Noah AZR60 inapatikana kwa mkopo


Toyota Noah AZR60 inapatikana kwa mkopo Toyota Noah AZR60 inapatikana kwa mkopo Toyota Noah AZR60 inapatikana kwa mkopo Toyota Noah AZR60 inapatikana kwa mkopo Toyota Noah AZR60 inapatikana kwa mkopo Toyota Noah AZR60 inapatikana kwa mkopo Toyota Noah AZR60 inapatikana kwa mkopo

Gari hii inauzwa kwa mkopo. 

Make/Model: Toyota Noah (AZR60)
Color: Sky Blue
Engine: 2.0L - Petrol
Year: 2007
Transmission: Automatic

Key features:
 • 7+1 seats
 • Tinted windows
 • Alloy wheels
 • DVD player
 • Rear passenger AC

Maelezo:
 • Mteja anatakiwa kutoa asilimia hamsini (50%) ya thamani ya gari kama kianzio (advance).
 • Mteja atatakiwa kulipa mkopo kidogo kidogo (kwa kiwango tunachokubaliana) kila mwezi (monthly payments).
 • Muda wa kurejesha mkopo wote unaanzia miezi sita (6) hadi nane (8) kutegemea na thamani ya gari husika.
 • Mteja atatakiwa kukata bima ya comprehensive (comprehensive insurance cover) yenye thamani ya mkopo wote. 
 • Kadi ya gari itabaki ofisini hadi mkopo wote utakaporejeshwa. 
 • Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu au "send email" na tutakujibu mapema iwezekanavyo.

Contact UsSend Email

 • Mwai Kibaki road
 • Mikocheni A
 • Kinondoni District
 • Dar es Salaam


Share Product