• Business Starts Here!

Nunua Toyota Kluger V, Four kwa mkopo


Nunua Toyota Kluger V, Four kwa mkopo Nunua Toyota Kluger V, Four kwa mkopo Nunua Toyota Kluger V, Four kwa mkopo Nunua Toyota Kluger V, Four kwa mkopo Nunua Toyota Kluger V, Four kwa mkopo

Gari hii inauzwa kwa mkopo. 

Make/Model: Toyota Kluger V, Four
Color: Gold
Engine: 2.4L - Petrol
Transmission: Automatic (AWD)

Key features:
 • Tinted windows
 • Alloy wheels
 • CD player

Maelezo:
 • Mteja anatakiwa kutoa asilimia hamsini (50%) ya thamani ya gari kama kianzio (advance).
 • Mteja atatakiwa kulipa mkopo kidogo kidogo (kwa kiwango tunachokubaliana) kila mwezi (monthly payments).
 • Muda wa kurejesha mkopo wote unaanzia miezi sita (6) hadi nane (8) kutegemea na thamani ya gari husika.
 • Mteja atatakiwa kukata bima ya comprehensive (comprehensive insurance cover) yenye thamani ya mkopo wote. 
 • Kadi ya gari itabaki ofisini hadi mkopo wote utakaporejeshwa. 
 • Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu au "send email" na tutakujibu mapema iwezekanavyo.

Contact UsSend Email

 • Mwai Kibaki road
 • Mikocheni A
 • Kinondoni District
 • Dar es Salaam


Share Product