• Business Starts Here!

7 seat Toyota ISIS inauzwa kwa mkopo


7 seat Toyota ISIS inauzwa kwa mkopo 7 seat Toyota ISIS inauzwa kwa mkopo 7 seat Toyota ISIS inauzwa kwa mkopo 7 seat Toyota ISIS inauzwa kwa mkopo 7 seat Toyota ISIS inauzwa kwa mkopo

Gari hii inauzwa kwa mkopo. 

Make/Model: Toyota ISIS
Color: Black
Engine: 1.8L - Petrol
Year: 2011
Transmission: Automatic

Key features:
 • 6+1 seats
 • Alloy wheels
 • Tinted windows
 • Spoiler
 • DVD player

Maelezo:
 • Mteja anatakiwa kutoa asilimia hamsini (50%) ya thamani ya gari kama kianzio (advance).
 • Mteja atatakiwa kulipa mkopo kidogo kidogo (kwa kiwango tunachokubaliana) kila mwezi (monthly payments).
 • Muda wa kurejesha mkopo wote unaanzia miezi sita (6) hadi nane (8) kutegemea na thamani ya gari husika.
 • Mteja atatakiwa kukata bima ya comprehensive (comprehensive insurance cover) yenye thamani ya mkopo wote. 
 • Kadi ya gari itabaki ofisini hadi mkopo wote utakaporejeshwa. 
 • Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu au "send email" na tutakujibu mapema iwezekanavyo.

Contact UsSend Email

 • Mwai Kibaki road
 • Mikocheni A
 • Kinondoni District
 • Dar es Salaam


Share Product