• Business Starts Here!

TZS 650M - House for sale in Bahari Beach


House for sale in Bahari Beach House for sale in Bahari Beach

JUMBA LA GOROFA LINAUZWA BAHARI BEACH. 
Halijakamilika. Lina vyumba vinne vya kulala viwili vipo chini na vingine viwili vipo juu( Hivyo vya juu vyote ni “walk in closet”.. 
vyumba vya chini kimoja kinajitoshereza (self-contained room) kingine hakijitosherezi.  Chini kuna sebure kubwa na sehemu ya kulia chakula, jiko na stop. Juu kuna sebure ya familia kubwa na study room. 
Kiwanja kina ukubwa wa mita za mraba 3600. Kina hati miliki. 
Bei 695mil. Maongezi yapo.

Contact UsSend Email

  • Plot no. 41/A
  • Bagamoyo road
  • Mbezi Beach - Goig
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product