• Business Starts Here!

TZS 88M - Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala Chamanzi


Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala Chamanzi Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala Chamanzi Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala Chamanzi Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala Chamanzi Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala Chamanzi Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala Chamanzi Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala Chamanzi Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala Chamanzi Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala Chamanzi

Nyumba ipo Mbagala Chamanzi jirani na shule ya Saint Emmanuel. Ina vyumba vinne vya kulala ambapo vyumba viwili ni master bedrooms. Ina sitting room na dining room, ina jiko na store, ina maji na umeme. Ipo eneo na mtaa mzuri karibu sana na barabara kuu. Ina eneo lenye ukubwa wa square meter 850. Ina documents ya office ya serikali ya mtaa upimaji shirikishi unaendelea. 

Bei elekezi ni Shilingi milioni 88 tu. Tafadhali wasiliana nasi kwa maulizo. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product