Mkopo huu unalenga wafanyabiashara na wasiriamali wenye mahitaji ya haraka katika kukuza biashara zao. Kwa kupitia mkopo huu EFL imekusudia kuwawezesha wajasiriamali kupata fedha kwa haraka bila masharti magumu. Tunatoa mkopo kwa mradi wowote unaolipa na ambao unahitaji fedha za haraka.
Huduma hii inatolewa ndani ya siku mbili tu baada ya kukamilisha viambatanishi vyote. Tupo Dar es salaam na Arusha. Please call us by clicking on the "Piga Simu" button for inquiries.