Make: Mitsubishi Canter
Color: Blue
Engine: 4,600 cc - Diesel
Transmission: Manual 6+1
Features:
- Air condition
- Power windows
- 5 stud front axle
Imeagizwa kutoka Japan hivi karibuni. Ipo kwenye showroom yetu hapa Regent Estate. Karibu sana uweze kuikagua.