Ref no: 3315
Make: Subaru Forester
Color: White
Year: 2008
Engine: 2,000 cc - Petrol
Transmission: Automatic
Features:
- Tinted windows
- Rear spoiler
- Sports wheels
- Sunroof
- DVD/CD player
- Air condition
- Dual airbags
NI gari ya kisasa na yenye kuaminika. Ipo katika hali nzuri sana. Imeagizwa kutoka Japan na unaweza kuiona katika showroom yetu ya M'Buyuni. Tafadhali wasiliana nasi kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" uweze kupata namba zetu.