Nyumba mpya ya kupangisha Kiromo, Bagamoyo.
Ni nyumba ya vyumba vitatu ambapo kimoja ni self contained. Vilevile ina
servant quarter ya chumba kimoja. Ina umeme, maji, fence na mabanda ya
kuku. Vilevile ina eneo kubwa. Ni nyumba iliyojengwa kisasa yenye fitted
kitchen na floor tiles.
Kodi ni TZS 350,000/= kwa mwezi. Tafadhali wasiliana nasi kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.