Uwanja wa makazi unauzwa Goba Centre. Eneo ni zuri sana kwaajili ya makazi.
Plot size: 900 square meters
Status: Offer documents
Location: Wastani wa kilomita 4 kutoka Goba Centre
Bei elekezi: TZS 50 Million (Maongezi yapo)
Tafadhali wasiliana nasi kwa simu. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.