Nyumba inauzwa Tabata
- Ina uwanja mkubwa wa 1,500 square meters
- Ina mabanda ya uwani yanayoweza kupangishwa
- Ipo karibu na barabara kuu
- Bei elekezi: TZS 300 Million
Tafadhali wasiliana nasi kwa simu. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.