Ghorofa jipya linauzwa Boko Basihaya along Bagamoyo road.
Sifa zake ni kama ifuatavyo:
- Unfinished house
- Ina five bedrooms ambazo zote ni masters
- Plot size: 600 square meters
- Documents za offer
- Location: Boko Basihaya along Bagamoyo road
- Bei: TZS 75 Million, maongezi yapo
Tafadhali wasiliana nasi kwa simu. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.