• Business Starts Here!

Nguo za sherehe za watoto wa kike


Nguo za sherehe za watoto wa kike Nguo za sherehe za watoto wa kike Nguo za sherehe za watoto wa kike

Wafurahishe watoto wako Pasaka hii kwa kuwanunulia nguo za sherehe watoto wa kike. Tunayo magauni, sketi na blouse kwaajili ya watoto wa kike vilevile suruali, kaptula na mashati kwaajili ya watoto wa kiume. Tunauza kwa jumla na rejareja. Bei zetu ni nafuu sana. Tupigie simu. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Kumbukamwe Street
  • Kijitonyama
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product