• Business Starts Here!

Stockings na leggings kwaajili ya watoto


Stockings na leggings kwaajili ya watoto Stockings na leggings kwaajili ya watoto Stockings na leggings kwaajili ya watoto

Stockings na leggings kwaajili ya watoto zinasaidia wakati wa baridi au iwapo unaishi kwenye nyumba yenye AC. Unaweza kuzitumia pia kama "under garment" kumsitiri mtoto wa kike wakati anacheza na wenzake. Zipo za watoto wa umri mbalimbali kuanzia mwaka mmoja na kuendelea. Tafadhali wasiliana nasi kwa kutupigia simu. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba yetu.

Tahadhari: zinateleza sana kwenye sakafu za marumaru. 

Contact UsSend Email

  • Kumbukamwe Street
  • Kijitonyama
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product