Tunauza shirts and jeans trousers za watoto wa kiume. Rangi na sizes mbalimbali za kufit mtoto wa umri kati ya miaka miwili hadi kumi. Materials ni cotton. Yapo mashati ya mikono mifupi na mirefu. Tunauza kwa bei ya jumla na rejareja. Bei zetu ni nafuu sana. Tupigie simu. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.