Mashati ya mikono mifupi kwaajli ya watoto wa kike na wa kiume. Cotton material. Yanafaa kwa mtoto mwenye umri kati ya mwaka mmoja hadi minne. Tunauza kwa jumla na rejareja. Bei zetu ni nafuu sana. Tupigie simu kwaajili ya oda ya jumla. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.