Gauni la outing la watoto wa kike. Lace material. Size ya mtoto mwenye umri wa miaka miwili hadi miaka mitatu. Rangi mbalimbali zipo za design hii. Vilevile tunauza kwa jumla na rejareja. Bei yetu ni nzuri sana. Tupigie simu kuweka oda ya jumla. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.