Tunazo nguo za watoto wa umri mbalimbali wa kike na wa kiume. Pichani ni nguo ya mtoto wa miaka 3 hadi 5. Cotton material. Free size. Tunauza nguo za watoto kwa jumla na rejareja. Bei zetu ni nafuu sana. Tupigie simu kwa maulizo. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba yetu.