• Business Starts Here!

TZS 25k - Nguo za watoto wa kike zinapatikana kwa bei nafuu


Nguo za watoto wa kike zinapatikana kwa bei nafuu Nguo za watoto wa kike zinapatikana kwa bei nafuu

Nguo za watoto wa kike kuanzia miaka 0 hadi 3. Yapo magauni, pedo na skirts zinapatikana kwa bei nafuu dukani kwetu. Zipo aina na rangi mbalimbali. Lace materials na pamba. Tunauza wa jumla na rejareja. Tafadhali fika dukani kwetu au wasiliana nasi kwa kutupigia simu. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Kumbukamwe Street
  • Kijitonyama
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product