• Business Starts Here!

Tunauza nguo za watoto wa kike za kushindia


Tunauza nguo za watoto wa kike za kushindia Tunauza nguo za watoto wa kike za kushindia

Tunauza nguo za kushindia za mtoto wa kike na wa kiume kuanzia umri wa mwaka mmoja. Nguo zetu ni za pamba na zinafaa sana katika mazingira ya joto. Tunauza kwa bei nzuri, jumla na rejareja. Tafadhali wasiliana nasi kwa kutupigia simu. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba yetu.

Contact UsSend Email

  • Kumbukamwe Street
  • Kijitonyama
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product