• Business Starts Here!

TZS 40k - Infrared thermometer, kipimajoto


Infrared thermometer, kipimajoto Infrared thermometer, kipimajoto

Tunazo infrared thermometers kwaajili ya kupima joto la watoto. Infrared thermometers hazihitaji ujuzi sana kuzitumia. Zina digital screen ambayo inakupa joto/temperature la uliyempima moja kwa moja kwa Celsius au Fahrenheit. Ni nzuri kuwa nayo iwapo una watoto wadogo kwani unaweza kuwapima joto la mwili kwa haraka. 

Tupigie simu tukuletee. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba yetu. 

Contact UsSend Email

  • Kumbukamwe Street
  • Kijitonyama
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product