• Business Starts Here!

TZS 1.2M - Nyumba ya kupangisha Dodoma, Mlimwa C


Nyumba ya kupangisha Dodoma, Mlimwa C Nyumba ya kupangisha Dodoma, Mlimwa C Nyumba ya kupangisha Dodoma, Mlimwa C Nyumba ya kupangisha Dodoma, Mlimwa C Nyumba ya kupangisha Dodoma, Mlimwa C Nyumba ya kupangisha Dodoma, Mlimwa C Nyumba ya kupangisha Dodoma, Mlimwa C Nyumba ya kupangisha Dodoma, Mlimwa C Nyumba ya kupangisha Dodoma, Mlimwa C Nyumba ya kupangisha Dodoma, Mlimwa C

Nyumba ya kupangisha Dodoma, Mlimwa C. Ni nyumba ya vyumba vitatu ambavyo vyote ni self contained. Vilevile ina servant quarter ya chumba kimoja, self contained. Ina kila kitu pamoja na umeme, maji, fence na air condition. Ni nyumba iliyojengwa kisasa yenye fitted kitchen na floor tiles. Ipo kwenye eneo zuri lililo kwenye mipango miji na lenye ujirani wenye usalama wa kutosha.

Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • CCM Complex
  • 30 Shekilango road
  • Sinza Palestina
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product