• Business Starts Here!

NOTE Foundation beauty products


NOTE Foundation beauty products NOTE Foundation beauty products

NOTE Foundation beauty products. Zile foundation zetu pendwa zilizokuwa zinasubiriwa kwa hamu sasa zinapatikana kwenye maduka yote ya Atsoko. Ni foundation nzuri sio mchezo na zinakaa muda mrefu bila kuchuruzika. Zina natural finish, zimetengenezwa na Cedarwood oil ambayo inasaidia kuzuia chunusi. Ni rahisi ku-apply na inakauka haraka. Ni full coverage. SHADES ZOTE ZIPO (Wahi mzigo ni mchache)
.
Tunafanya delivery hadi mlangoni kwako.

Tupigie. Tukuletee.
Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba yetu.

Contact UsSend Email

  • Atsoko House
  • 06 Atisoko (Manyara) Street
  • Mikocheni B
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product