• Business Starts Here!

Nguo za watoto wa kiume


Nguo za watoto wa kiume Nguo za watoto wa kiume Nguo za watoto wa kiume Nguo za watoto wa kiume Nguo za watoto wa kiume





Tunauza nguo za watoto wa kiume za cotton. Zipo katika muundo mbalimbali wa trousers, short pence au long pence za watoto kuanzia umri wa mwaka 1 hadi miaka 5. Vilevile kuna mashati na Tshirt za kuendana. Karibu dukani kwetu umchagulie mwanao nguo nzuri kwa bei nafuu. Tafadhali bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact Us



Send Email

  • Kumbukamwe Street
  • Kijitonyama
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam






Share Product