• Business Starts Here!

Nguo za watoto wa kike


Nguo za watoto wa kike Nguo za watoto wa kike

Nguo mpya kabisa za watoto wa kike. Material ya cotton. Zipo za rangi na design tofauti. Zinapatikana kwa size mbalimbali kwaajili ya watoto kuanzia umri wa miezi 6 hadi miaka 5. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu. 

Contact UsSend Email

  • Kumbukamwe Street
  • Kijitonyama
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product