Manual breast pump inatumika na akina mama wanaonyonyesha huku wakiwa waajiriwa. Kazi yake ni kuhakikisha kuwa mama anamkamulia mwanae maziwa yake katika mazingira masafi ili mtoto asikose maziwa ya mama wakati anapokuwa kazini. Ni rahisi sana kutumia. Inapatikana dukani kwetu kwa bei nzuri.