Plot ya makazi inauzwa haraka. Ina matofali 500 na ukubwa wa 23x23. Location ni Kibaha Miembe 7 mita 800 toka Morogoro road. Tafadhali wasiliana nasi haraka ujipange kukiona muda wowote. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.