Nyumba ina sebule kubwa. Vyumba (3) vitatu vya kulala, kimoja master.
Ukubwa wa eneo
Ina fensi ya ukuta pamoja na geti. Nyumba imekamilika kila kitu. Bei ni TZS 50 Million. Tafadhali wasiliana nasi kwa maulizo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.