• Business Starts Here!

TZS 1.2M - Nyumba ya vyumba 5 inapangishwa Kijitonyama


Nyumba ya vyumba 5 inapangishwa Kijitonyama Nyumba ya vyumba 5 inapangishwa Kijitonyama Nyumba ya vyumba 5 inapangishwa Kijitonyama Nyumba ya vyumba 5 inapangishwa Kijitonyama Nyumba ya vyumba 5 inapangishwa Kijitonyama

Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa, Kijitonyama maeneo ya WANYAMA HOTEL, kwa matumizi ya ofisi.

 • Vyumba vinne vipo juu, vitatu vikubwa self contained, kimoja kidogo hakina choo/bafu. Kimoja self contained kipo chini.
 • Pia kuna vyumba vingine vitatu chini vyenye jiko, dining & sebule.
 • Sakafu ni ya malumalu ya Hispania (Spanish tiles)
 • Kuta nyeupe
 • Paa ni bati nadhifu la south
 • Dari ya gypsum ceiling
 • Madirisha ya mbao ngumu
 • Feni ipo kila chumba
 • Heater zipo mabafu yote na jikoni
 • Parking magari hadi 12 ndani na 10 nje
 • Garden nzuri ipo
 • Barabara ya lami hadi mlangoni
 • Mtaa kimya na salama sana
 • Mtu wa usafi na ulinzi yupo masaa 24
 • Kuna GENERATOR na TANK la maji la lita 5,000 pamoja na pump

Bei ni TZS 1.2 Million kwa mwezi kwa nyumba nzima. Chumba self ni TZS laki tatu na elfu hamsini (TZS 350,000). Chumba kidogo na dining ni TZS laki mbili na elfu hamsini (TZS 250,000). Sebule ni TZS laki tatu (TZS 300,000). Jiko pamoja na uwanja wa nje kuweka viti ni TZS laki tatu (TZS 300,000) .... Malipo ni miezi minne. Wasiliana nasi kwa maulizo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu. 

NB: Renovation inafanyika ukihitaji kwa gharama za mwenye nyumba. Hata a/c unawekewa ukitaka. 

Contact UsSend Email

 • Makumbusho Complex
 • Wakatibado Street
 • Makumbusho
 • Kinondoni District
 • Dar es Salaam


Share Product