Nyumba ya kumalizia iliyopo Chanika Dar Es Salaam inauzwa. Ina vyumba viwili ambapo kimoja ni master bedroom. Ina siting room na public toilet. Tafadhali wasiliana nasi kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu. Wote mnakaribishwa.