Nyumba mpya kabisa ipo kwenye hatua za mwisho inapangishwa kwa bei ya Shilingi laki sita kwa mwezi. Ina Vyumba vitatu vya kulala ambapo kimoja ni master bedroom, siting room, jiko la ndani na nje kuna store. Ipo kwenye fence. Tafadhali wasiliana nasi kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.