🖤🖤🖤🖤 Makeup steps are important and primer is the first one! This is something you must have if you want your makeup to look good and last longer. Hii primer ni nzuri kwa ngozi yoyote. Inasaidia kupunguza muonekano wa pores, mafuta, muonekano wa mikunjo na kuifanya makeup yako iwe flawless siku nzima. Pia unaweza kuitumia yenyewe. 🖤🖤🖤🖤