• Business Starts Here!

Akaunti ya muda maalum kutoka MCB


Akaunti ya muda maalum kutoka MCB Akaunti ya muda maalum kutoka MCB

Pata riba nono ukiweka pesa kwenye akaunti ya muda maalum (Fixed deposit) ya MCB. Pia utaweza kuitumia kama dhamana pindi ukihitaji mkopo. Ndugu mteja, Hujachelewa wekeza sasa ikufae baadae.


Tupigie simu tukuhudumie. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba yetu.

Contact UsSend Email

  • Mlimani Tower
  • Sam Nujoma Road
  • Mlimani Area
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product