Inapangishwa Kijitonyama. Nyumba ya vyumba viwili ambapo kimoja ni masta. Vilevile ina sebule, dining room, jiko, shared toilet, parking ya magari mawili. Zipo nyumba sita kwenye compound ila kila moja ina na geti lake. Mtaa ni mkimya sana na upo karibu na Mama Anna Makinda & Polisi Mabatini hivyo usalama ni wa uhakika. Lami hadi getini. Bei ni Shilingi laki sita kwa miezi 6 haishuki.