• Business Starts Here!

TZS 70M - Nyumba 2 in 1 zinauzwa Kigamboni Gezaulole


Nyumba 2 in 1 zinauzwa Kigamboni Gezaulole Nyumba 2 in 1 zinauzwa Kigamboni Gezaulole Nyumba 2 in 1 zinauzwa Kigamboni Gezaulole

Nyumba mbili zilizopo kwenye kiwanja kimoja. Zipo Kigamboni Gezaulole. Kila moja ina vyumba vitatu ambapo viwili ni master bedroom. Kila moja ina dining room, sitting room, jiko, store room na shared toilet. Parking ipo ya kutosha. Kiwanja kina mita za mraba mita tano (500 square meters) na kina hati miliki.

Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu. 

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product